Hallo mamy[emoji113] am oky now, japo nilijisikia vbaya sana tu, najua nilistaili kuambia but kutukanwa mbuzi mmmh ilo neno halikunibaliki yaan lilinikera mpk kwenye firigisi kwa maan unaye muita mbuzi kuna watu wanamuona special sana yaan mhimu sana kwa maisha yao but kwa vile tuko hapa hatujuan kila mtu anakuwa anachukulia mwenzie poa ....me nimeseme nimesamehe kbsa mwaka unaisha huu kuna mawili kufa au kuishi inakuje nikifa na kinyongo na mtu itakuwa dhambi eeh[emoji4] so mtu chake am forgive your ila next time ata kama unataka kumtukana mtu tafuta tusi simple lisilo mkera mtu ili uonekane smart msitarabu lazima busara ziusike but ulicho kifanya wew japo ulijua umenitukan ila uliiweka wazi hruka yako mbali na kujua wewe ni mkimya usiye penda makuu kumbe sivo una vitu vyako nyuma ya pazia ila me nimekusamehe best kbsaaa kutoka moyoniManeno ya busara. Tuko hapa kucheka na kusocialize tu. Don't take things personal and sometimes you have to roll with the punches as if you are Floyd Mayweather japo mtu akizidi sana pia rukhsa kumsuta na kumchana. Ni lazima pia kuwa strong hasa kwa jamii yetu hii yenye dharau kwa wanawake....na kuwa careful kutozoeana na watu kupita kiasi hovyo hovyo. JF ya sasa hii imejaa boys na wengi wao hata hawajui maisha haya yakoje so kuumiza mabinti kwao kawaida tu...
Ni nzuri burudaniNjema/salama kabisa mkuu
Habari za asubuhi arifu
Bhasi sawa mkuuNi nzuri burudani
Tunapenda na kucare sanaaTumefanyaje wanyaki jamani?
wale wa kigamboni
Haya mbona yameisha wakuu kila siku tuu haya hayaHallo mamy[emoji113] am oky now, japo nilijisikia vbaya sana tu, najua nilistaili kuambia but kutukanwa mbuzi mmmh ilo neno halikunibaliki yaan lilinikera mpk kwenye firigisi kwa maan unaye muita mbuzi kuna watu wanamuona special sana yaan mhimu sana kwa maisha yao but kwa vile tuko hapa hatujuan kila mtu anakuwa anachukulia mwenzie poa ....me nimeseme nimesamehe kbsa mwaka unaisha huu kuna mawili kufa au kuishi inakuje nikifa na kinyongo na mtu itakuwa dhambi eeh[emoji4] so mtu chake am forgive your ila next time ata kama unataka kumtukana mtu tafuta tusi simple lisilo mkera mtu ili uonekane smart msitarabu lazima busara ziusike but ulicho kifanya wew japo ulijua umenitukan ila uliiweka wazi hruka yako mbali na kujua wewe ni mkimya usiye penda makuu kumbe sivo una vitu vyako nyuma ya pazia ila me nimekusamehe best kbsaaa kutoka moyoni
Hela pekee ndo kitu kinanipa amani mimi nakupenda m@mtu chake View attachment 1662630
wale wa kigamboni
🥂🥂Bhasi sawa mkuu
Umeenda kula urojo sio??
Nyerere Square si ni kule mbele kabisa ukiipita roundabout inayofuataNyerere square
Sehemu inayonivutia zaidi Dodoma[emoji3590]View attachment 1662522
Hiyo roundabout ya DUWASAMie zote naziita squares
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huoni km ni mdoli huo boss
Hizo sehemu tunazunguka wauza karanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea wee acha vituko sasa,Hongera kipenzi loh..
Mtoto mteke sana wewe[emoji8][emoji8]
Ni mimi unaniambia au ni nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea wee acha vituko sasa,
Hebu nioneshe upaja wako nisafishe macho me.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
😅Umeenda kula urojo sio??
ukishajua utofauti wa upigwaji wa picha wala hutakua na mashaka, au tembea na uzi kupanda juu ujionee maan pics zangu zimejaa huko, na km unahitaji zaidi sema nikutupie full picha yangu ili uwe na amani lol.Mh! Hii miguu kwenye picha ya kwanza inaweza kuwa
na upaja wa hivi? December fools' day[emoji3][emoji3] View attachment 1662514View attachment 1662516