Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,046
- 33,723
Mwili wa kuvalia yale Madera nautoa wapi??[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe una akili.. Tuma namba yako PM nikutumie hela ukanunue ile jezi ya dela ya wananchi.
Mambo si haba mkuuMkuu naona Mambo ni mazuri....
@Linnahbaby umemuacha wap now
Amna Mkuu me nimeshamkumbuka kumwona JamvinMambo si haba mkuu
Acha uchokozi mkuu[emoji1][emoji1]
Kwema lakini mkuuAmna Mkuu me nimeshamkumbuka kumwona Jamvin
fanya kumleta
Kwema Mkuuu za tangu jana...Kwema lakini mkuu
Waulize ChelseaAsenali bwana[emoji7]
Mtu anaweza dhani mko siriazi kumbe Wala[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1661496
Bora hata Chelsea japo nao ni walewaleWaulize Chelsea
Izo socks au vikuku?Wa kienyejiView attachment 1661533
Walikaa 3 sasaBora hata Chelsea japo nao ni walewale
hahahahaaaaMaisha ya Jf fresh sana.. Eti Id zinagombana?
[emoji23][emoji23][emoji23] tuko wengi kumbe[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kibongo bongo Niko yanga japo ukiniuliza mchezaj simjui hata mmoja
Duh! Carinho ni icon ya yanga[emoji23][emoji23][emoji23] tuko wengi kumbe
Ndiyo boss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuko wengi kumbe
[emoji1787]Walikaa 3 sasa
Niliahidi....View attachment 1661294
Nakuja kipenziRafiki kipenzi mie Niko zangu sehemu napata lunch, Karibu