Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,608
- 24,195
Wasalimie sana nkamu
zimefika Nkamu
Wasalimie sana nkamu
A wapi [emoji23][emoji23][emoji23]Nambie kada wa Mbeya city
Kutukuyu kusouth southView attachment 1660744
Tukuyu Mjini
Serious!A wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mm siwezi shabikia timu zembe namna hiyo
Ndo kina nani?wanafyale
[emoji23][emoji23][emoji23]Serious!
Kumbe una akili.. Tuma namba yako PM nikutumie hela ukanunue ile jezi ya dela ya wananchi.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kibongo bongo Niko yanga japo ukiniuliza mchezaj simjui hata mmoja
Kabisa simba damuni binamu yanguBinamu yangu mwana simba halisi[emoji7][emoji7]
Mweeehhh picha yako ipo wapiChat na pichaaa
sawaa arifu...Nafikiri ni majina kama majina mengine arifu.utafiti ukikamilika nitakupa mwongozo madhubuti joo
Naomba nije nikusaidie [emoji39]Nazivuta mwenyewe [emoji28][emoji28]
Makada kindaki kama wakina hilda au makanda uchwara kama wakina mzee mdee???Kumbe unajua, arsenal haiwezi kuwa na plastic fans. Kuna watu hadi saivi wameshaenda liver na spurs, tumebaki makada.
Nilipotokea...[emoji39]View attachment 1660744
Tukuyu Mjini
Kutukuyu kusouth south
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kibongo bongo Niko yanga japo ukiniuliza mchezaj simjui hata mmoja
Naona unapenda yale madera wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kibongo bongo Niko yanga japo ukiniuliza mchezaj simjui hata mmoja
Stay blessed homie...[emoji120]kabisaaaa