Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Imagen kwa mara ya kwanza nimelia kwa sababu ya watu wamtandaoni ambao ata siwajui ila leo nimenmjisikia vibaya zidi yao kosa ni langu na nimeomba msamaha sijawai kuitwa mbuzi mimi ndo mara ya kwanza leo ila yote hayo nimeyataka mimi sina budi kuyajutia masihara yangu mtu chake Chakorii naombeni mnisamehe sana all the best.
Mbuzi yaani G.O.A.T

Greatest Of All Time

Sio mbaya ni appreciation
 
Imagen kwa mara ya kwanza nimelia kwa sababu ya watu wamtandaoni ambao ata siwajui ila leo nimenmjisikia vibaya zidi yao kosa ni langu na nimeomba msamaha sijawai kuitwa mbuzi mimi ndo mara ya kwanza leo ila yote hayo nimeyataka mimi sina budi kuyajutia masihara yangu mtu chake Chakorii naombeni mnisamehe sana all the best.
Stay calm basi huna haja ya kuujaza moyo na uchungu usio na lazima, kuteleza kupo ila haikufanyi kuwa madhaifu hivi, mtu haumjui inakuaje akuumize chukulia kama ulikua utani ukatafsiriwa tofauti..

Happiness is by choice
 
Imagen kwa mara ya kwanza nimelia kwa sababu ya watu wamtandaoni ambao ata siwajui ila leo nimenmjisikia vibaya zidi yao kosa ni langu na nimeomba msamaha sijawai kuitwa mbuzi mimi ndo mara ya kwanza leo ila yote hayo nimeyataka mimi sina budi kuyajutia masihara yangu mtu chake Chakorii naombeni mnisamehe sana all the best.
Why ulie msweet kwa kuitwa mbuzi kwani ni mbuzi kweli jibu hapana vitu vidogo vidogo vinakuumiza kichwa Lina wangu utaweza kweli maisha ya jf yameisha mamii
 
Imagen kwa mara ya kwanza nimelia kwa sababu ya watu wamtandaoni ambao ata siwajui ila leo nimenmjisikia vibaya zidi yao kosa ni langu na nimeomba msamaha sijawai kuitwa mbuzi mimi ndo mara ya kwanza leo ila yote hayo nimeyataka mimi sina budi kuyajutia masihara yangu mtu chake Chakorii naombeni mnisamehe sana all the best.
Easy mie nimesamehe kiroho safi ,rudi normal tulisongeshe
 
Back
Top Bottom