Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Nitakunasa makonzi jirani ujue😆😆😆😆😆😆nani anakuza mambo..Imeisha, tuwe wenye furaha kama zamani, tatizo mtu kujua huu ji utani na huu ni ukweli ni ngumu, amesema alikua anatania, usikuze jambo jirani limeisha hilo
Asili yangu mimi napenda amani kufurahi mda wote..kunikuta nimechukia ni nadra mnooo..
So hakuna kilichoharibika jirani yangu


