kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Mengine yapitie uko nje boss hakika.Sikatai lakini sasa kama umekutana na watu humu awe jinsia ke au me cha msingi ni mawazo tu, ila ukitaka zaidi kama kukutana ndiyo unakutana na mambo tofauti mara kupewa ukimwi, mara kutapeliwa, mara kudanganywa, mara kuumizwa, mara kukutana na jinsia tofauti so mambo ni vurugu, jambo zuri ni kuchukulia jf kama sehemu ya kukurefresh akili na kujifunza mambo
.



