Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Katika maisha yangu sikuwai fikilia kuwa sikj moja furaha inaweza gauka kilio siku moja the first time inantoikea hii...but niwatake radhi wote wana jf wote kwa huu uzi tumekuwa watu wenye furaha anytime ata chating zetu ilikuwa kama watu tunao juana kwa maan hyo nisinge penda kuwa chanzo cha watu kukosana kwa ajili yangu binafs sina furaha na huu uzi tena samahanini sana kwa ilo

# nawapenda sana.
Dont take things so serious, hakuna aliekuchukulia vibaya but kuna utani unaelekea na ukweli ni kama kuna kitu unakijua zaidi, tupo wote hapa kufurahiana, hakuna sababu ya kuchukulia mambo tofauti hakuna aliechukia ila tunakumbushana privacy ya mtu ni nzuri ukaitunza,

Nakupenda binamu
 
Katika maisha yangu sikuwai fikilia kuwa sikj moja furaha inaweza gauka kilio siku moja the first time inantoikea hii...but niwatake radhi wote wana jf wote kwa huu uzi tumekuwa watu wenye furaha anytime ata chating zetu ilikuwa kama watu tunao juana kwa maan hyo nisinge penda kuwa chanzo cha watu kukosana kwa ajili yangu binafs sina furaha na huu uzi tena samahanini sana kwa ilo

# nawapenda sana.
Jamaniii dear love you usichukulie kila comments serious ni utani yameisha hebu upende Uzi wetu tena mamiii
 
Hivi unafikiri hakuna watu wazuri humu..wapo sana..na kuonana na mtu wa JF haikatazwi lakni kusema nimeonana na Fulani hiyo si sawa kabisa.

Kwani ni lazima kusema unamfahamu fulani?!!
Imeisha, tuwe wenye furaha kama zamani, tatizo mtu kujua huu ji utani na huu ni ukweli ni ngumu, amesema alikua anatania, usikuze jambo jirani limeisha hilo
 
Katika maisha yangu sikuwai fikilia kuwa sikj moja furaha inaweza gauka kilio siku moja the first time inantoikea hii...but niwatake radhi wote wana jf wote kwa huu uzi tumekuwa watu wenye furaha anytime ata chating zetu ilikuwa kama watu tunao juana kwa maan hyo nisinge penda kuwa chanzo cha watu kukosana kwa ajili yangu binafs sina furaha na huu uzi tena samahanini sana kwa ilo

# nawapenda sana.
Hahahaha, kuwa na Aman Best ,usijinyime raha kwa kujitoa ktk Uzi kwa kosa lako mwenyewe

We chat kwa Aman na Upendo

NB : MTU km humjui usijimwambafay unamjua ili upate kick

Nikutakie Juma tatu Njema, Blue Monday , Karibu 420 Cousin hapa upate japo lunch
 
Jamaniii dear love you usichukulie kila comments serious ni utani yameisha hebu upende Uzi wetu tena mamiii
Imagen kwa mara ya kwanza nimelia kwa sababu ya watu wamtandaoni ambao ata siwajui ila leo nimenmjisikia vibaya zidi yao kosa ni langu na nimeomba msamaha sijawai kuitwa mbuzi mimi ndo mara ya kwanza leo ila yote hayo nimeyataka mimi sina budi kuyajutia masihara yangu mtu chake Chakorii naombeni mnisamehe sana all the best.
 
Back
Top Bottom