linahbaby
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,087
- 3,084
Iko kiatu tu naweza imagen sura iko vip[emoji5][emoji5]View attachment 1661222
Mishemishe
Iko kiatu tu naweza imagen sura iko vip[emoji5][emoji5]View attachment 1661222
Mishemishe
Ooooh kumbe bas sawa,Hapana.mikato yangu naijua ni magumu migumu tu dear coc
Jomoneeeh dea wee kuolewa ni muhimu, na bahati haiji mara 10,Kwahiyo ndo ushaolewa dear eee..safiiiii[emoji1531][emoji1531]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee aah wapi dea, uongo tyuuuh.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Muulize ilivo tamu sasa
AsanteZa kwangu njema/salama kabisa
Karibu
Mbona mnafeli nyieLips zinawakilisha
Hata mimi naona umepata umaarufu bimanu yangu umekua kama alikiba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jmn jmn mbona mimi nimekuwa maarufu hvo kwa huu uzi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Naanza kukaa mbali na binamu yangu, maana tayari ameshapata jina sasa superstar hutakua na muda na binamu yako
[emoji23][emoji23][emoji23] wee ni thomaso eeh, hebu nipe zawadi zangu me, nipo ukweni huku milimani.Tuoneshe yote ili ukamilisha maneno me siamini kbsaa hyo kafia hapo [emoji847]
Eti eeeh ngoja bas nikuitie huyo gentleman wa Chuga aje hapa myajenge.Ingekuwa hvo kusingekuwepo sukari na chumvi ingekuwepo chumvi tu ila kwa vile sukari na chumvi vyote vinaumhimu acha kunibania unaelewa kbsa sukar na chumvi radha toafut kabsaa
Naii mkuuwapi hapa
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wacha banah mbona muongo muongo hivi [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Binamu yangu wew ni mhimu kama pumzi yangu ukikaa mbali umenipoteza mimi kbsaa ata swimming [emoji474] zote zitafungwa [emoji1][emoji1]
Unistukie wapi wee dea, hebu niletee zawadi zangu me stak ivo, unajfanya kuleta ujanja ili usinipe ntakuvuta miguu oooh.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekushitukia mapeeeeemaaaaaaaaa peupeeee[emoji126][emoji126]
Iko kiatu tu naweza imagen sura iko vip[emoji5][emoji5]
Sasa wee nae chuga kuna marioo? Huyo n Don mbona acha woga, ngoja jaamaa aje hapa,Awe na hela staki marioo mimi kama hela ya matumizi ipo sawa aje..ila kama ana ubaili wa chuga hapa atakula wa chuya bofa nibaki na msukuma wangu anajua kucare na kuhudumia [emoji12][emoji12][emoji12]
Kwamba ame?Hahahahh Sasa kama umeonja Wote ukabakisha mmoja si utakua umeisha sana huko down
#jokes[emoji3][emoji3]
Sasa si mpaka utoke kunako honeymoon mdogo wanguWoyooooooh hapo chachaaah mbna pambeeeh.
Naomba kidogo..
Benpol alishaimbaHv utajisikiaje damu anakupenda sana alafu mwisho wa siku usikie kuwa sio kweli ni jokes alafu muda uo n ww usha anza kumzimikia uta do what?[emoji23]