HahahahaUkifatialia chating zangu zangu zote hakuna nilicho kiongelea cha ukweli sema napendaga tu kuchanganya vichwa vya watu
![]()
HahahahaUje ofisini kuchukua adhabu yako siku ya jumatatu saa nne asubuhi
huwezi nichosha namna hii we mtoto
Hv utajisikiaje damu anakupenda sana alafu mwisho wa siku usikie kuwa sio kweli ni jokes alafu muda uo n ww usha anza kumzimikia uta do what?Hahahaha

Rafiki kipenzi mie nisikaribie eeh ,sawa week end njema
Picha na chat mamaTunakumbushana kwamba lengo la uzi ni chat na picha
Nimekupigia simu sijakupata kipenzi changu.Rafiki kipenzi mie nisikaribie eeh ,sawa week end njema
Hayaaaa simu ilikua kwa chaji ,Rafiki kipenziNimekupigia simu sijakupata kipenzi changu.
Usikasirike basi si unajua sipendagi uchukie ee..
Jirani yangu wangu we si wakunitupa siku muhimu kama jana na leo.Picha na chat mama
Nakuja kukuchukua hapo sasa hivi tukaleweHayaaaa simu ilikua kwa chaji ,Rafiki kipenzi
Fanya kitu nisichukie, Nifurahi Leo Boxing Day
Poa nakusubiriNakuja kukuchukua hapo sasa hivi tukalewe
Jiandae kabisa naita boda hapaPoa nakusubiri
Niko full Rafiki kipenziJiandae kabisa naita boda hapa
Dada uliechangamka
Niko full Rafiki kipenzi
Hivi blazaukisema “nimechangamke”unaamaanisha nini kwani nahisi kama ni code hii.Dada uliechangamka
Hizo nitazimia mwenzako..😂
Namaanisha unamapepe uko vizuri...😂Hivi blazaukisema “nimechangamke”unaamaanisha nini kwani nahisi kama ni code hii.
Lager si yupo atakupepea usiku ukizima
Mambo vipi mkuu![]()
Baba watoto nisamehe![]()