Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilijua vinukta vyake unavipendaga[emoji38][emoji38][emoji38]loh.hivi bado mioyo yenu haijaanza kunena kwa lugha ee
Hahaaha kwangu bdo ila kwake kasha anza ndo maan akiweka nukta me namulewa moyo wake unaongea kupitia hvo vinukta ukitaka kuamin ilo jaribu kuesabu elf a neno i love u na uhesabau na hvyo vinukta vyake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jizazi we mtu mbona umetisha..

Hivi mpk hapo shida iliyobaki ni ipi??mbona mnachelewesha mambo namna hiyo?tafunaneni basi.. 😫😫😫

🤪🤪🤪🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…