Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,836
Hapana mumie, nili imagine tu huo m-shape wako.!!Itakuwa umemmiss masogange
Hapana mumie, nili imagine tu huo m-shape wako.!!Itakuwa umemmiss masogange
Tunafurahi tu,,Sawa andaa mbavu za kucheka.
mpiga kura wako mtiifu nipo hapa😁😁Hahahaaa... mwenyewe nalitaka hilo
😂 😂 😂 eti nyau, huwezi jua ulinzi wako ni invicibleHamna hata nyau wa kunilinda mimi
Hahaha ilikua laki 6 sio m 6 na yote ikaisha kesho yake![]()
Hasa wakati wa usikuHapa mshana itabidi awe anatusaidia
Huyu Lizarazu atakufaa.Ubabe wako wa mwandiko ukiwa na hivyo physically aaah warembo wote ni mali yako
Tupia selfie yako ziba macho tu


Hivi ningelia kilio gani nisingefanikiwa kumuona dada yangu mrembo hivi, na imagine na kale ka mwanya pale kati..!
you're so cute mamaa! MUNGU fundii.!!
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Nilivyokuwa nakuwazia umezidi jameni🙆🏽♂️
Yani we si kisu we ni panga aisee
Kesho hiyo.Hahahaaa... mwenyewe nalitaka hilo
hahahahaHahahaha
I donti sinksi so
Wewe si ndo mshindi-mshiriki?? Unakosaje sasa kwa mfano.!Na kesho naruhusiwa kushiriki?
Umemaliza mama
nyie mnata watu waache kufanya kazi waamkie hapaKesho hiyo.
Tutachuana hapa.