Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Halafu bora uachwe na gari kuliko umbea, inauma hatari.
Aaaaggggrrr!!! Tulale tu mama, mie wameniudhi kurasa kibao nimejisomesha hata hawamtaji.Unaweza ukaanza kulia afu ukiulizwa na watoto, mama unalilia nini unaanza kujichekesha teh
akili kubwaWapendwa one thing you have to know hii ni jamii, kama ilivyo ada jamii huwa na kila aina ya watu. Na huyu mnaemnanga(mmegoma kuniambia[emoji57][emoji57]) huo ndio udhaifu wake na ndio unamfanya kuwa binadamu. Sote hatujakamilika, mliowahi kuwa karibu nae ni vuema mkamwambia kile anachowakwaza hata akimind ukweli ashaupata. Maybe ni utoto au basi tu ni hulka yake[emoji2369]
Hizi id fake zinatutengenezea personalities ambazo zinafanya watu watamani kukufahamu, japo wengine sie hatuna muda wa kuhangaika kufahamu watu ila wengine kwao ni big deal. Huo utofauti ndio unatufanya sie kuwa binadamu. Tusameheane tu, na maisha yaendelee.
Hata mkiongea vipi, atatokea mwingine tu wa kaliba hiyo hiyo. Sasa sijui tutaogopana hadi lini. Ila tujifunze tu kutunziana privacy zetu kwa wale waliamua kutuamini.
Hongea sana mbwange,sina mbui mghoshi... nitekuughusha du, wa kaya.....
Aisee hapo korogwe(n'hoogwe) sio ?[emoji16][emoji16]nakijua haswa mkuu...,mana nimekulia usambaani....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza ukaanza kulia afu ukiulizwa na watoto, mama unalilia nini unaanza kujichekesha teh
Nafurahi kusikia uko fresh kipenzi changuAhsante, nishapoa , nipo fresh Rafiki kipenzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimeamka kukojoa nakutana na mgazeti wa auntie yangu mwenyewe umejipindaWapendwa one thing you have to know hii ni jamii, kama ilivyo ada jamii huwa na kila aina ya watu. Na huyu mnaemnanga(mmegoma kuniambia[emoji57][emoji57]) huo ndio udhaifu wake na ndio unamfanya kuwa binadamu. Sote hatujakamilika, mliowahi kuwa karibu nae ni vyema mkamwambia kile anachowakwaza hata akimind ukweli ashaupata. Maybe ni utoto au basi tu ni hulka yake[emoji2369]
Hizi id fake zinatutengenezea personalities ambazo zinafanya watu watamani kukufahamu, japo wengine sie hatuna muda wa kuhangaika kufahamu watu ila wengine kwao ni big deal. Huo utofauti ndio unatufanya sie kuwa binadamu. Tusameheane tu, na maisha yaendelee.
Hata mkiongea vipi, atatokea mwingine tu wa kaliba hiyo hiyo. Sasa sijui tutaogopana hadi lini. Ila tujifunze tu kutunziana privacy zetu kwa wale waliamua kutuamini.
Wanaume wa jf wambea nyie [emoji1787][emoji1787]Nipe mimi nitakukula na nitakaa kimya muumini wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], wakina nani wambea hivyo muwataje basi tuwaweke kati
Nani huyu tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule naye inawezekana kashapata info za huyu tunayemuongelea akajihisi pengine na zake zitakuwa zimemfikia maana siyo bure
Weka picha bwana acha siasa. Usiwe kama Heaven Sent
Mweeeh!! Kuna id fulani nayo niliambiwa ni yangu, basi taabu kweli kweli[emoji1787]Nikajua ni ID yako nyingine[emoji16]
Nvitana mghoshi kaibu daisaamahuhuhuuuu.umbuje[emoji18]...imi kwezindo....haja bakwata....misheni naahateiyya. mia nkuie nkhoogwe.
Kwendraaaaaaaa![emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Yangu kesho
Auntie na mimi naomba kapicha, haiwezekani utafutwe hivyo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimeamka kukojoa nakutana na mgazeti wa auntie yangu mwenyewe umejipinda
Ni hivi mwenyewe anajijua na anasoma aache hii tabia tena mimi biashara za kutafuta picha zangu ndio aachane nazo kabisa anifate mwenyewe kuniomba
Picha zangu za nini ugundue nini ushaniona na fake life jf mpaka utake kunijua humu naishi maisha yangu
Kiboko na nusu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Wanaume wa jf wambea nyie [emoji1787][emoji1787]
Mbona nimepost leo muulize b'day girl me nashida basi na sura ya baba anguAuntie na mimi naomba kapicha, haiwezekani utafutwe hivyo.
Ndo naisubiri hivyo, usijisahaulishe.