Yaani yule dada kajua kutuchonganisha watu jamani! Watu tunashikana uchawi huku tunagombana kumbe mchawi mwenyewe katulia tu anatucheck na anavyojua kujisafisha sasa ili yeye aonekane innocent!
Yaani yule dada kajua kutuchonganisha watu jamani! Watu tunashikana uchawi huku tunagombana kumbe mchawi mwenyewe katulia tu anatucheck na anavyojua kujisafisha sasa ili yeye aonekane innocent!
Unafikiri mie huwa najua kuchunguza mtu basi! Mie nilikuwaga namsoma tu juu juu na tulivyokuwa tunachitchat nikajikuta nimetokea kumuamini tu hadi tukafahamiana!
Na hiyo ndiyo sababu hadi leo siwezagi mgundua mtu mwenye id zaidi ya moja humu JF hata miandiko iwe inafanana vipi na huwa nashangaa watu wanachunguzaje hadi wanajua! Mie hata ndugu zangu huwa wananiambia mi ni mwepesi sana kuamini mtu baki na ndiyo maana hata nishatapeliwa sana baadhi ya vitu vyangu vya thamani!