Ubabe wa ligi kuu mfanya fujo km mimi haitakiwi man nyolonyolo mikono laini na ngozi yangu laini lazima ateleze na hapo dharau ndo zinapoanzia,,, ubabe wa kupiga hata pingu mikono huku unasukuma ngozi,,
Ndo maana tunapendaga wajeshi ni kwa sababu hizo,,
Mzigua90 hebu njoo hapa