Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,912
- 70,665
Nipe nipe nimuone nikiwa wet tu najitupia
Nikupe????
Sena ndiwo chibonge[emoji23][emoji23]
Nikupe????
Sena ndiwo chibonge[emoji23][emoji23]
Huko pengine hamna wadada kabisa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Uzi ni noma huu umevunja rekodi kwa kukusanya kijiji chote, mmu na chitchat
Mbona haukuniambia nefanana na nani wa huku? Sijasahau eti.
Nacheka sana.Nipe kwanza.
Bill hivyo nazichomoa hapa
Ziweke standby tu..Shindano linalokuja inabidi pawepo na kifuta jasho kwa washiriki.
Ngoja niandae picha zangu.
PoleeeeNimepishana na gari ya mshahara picha zako + Saint anne zote zimeshafutwa
Vigezo & masharti kuzingatiwaHamna huyo msomali hatutaki atatuzidi tu
😂😂😂😂 emu jiandae twende gymWaziri wa Kaskazini yule dada wa jukwaa la international Ni huyu
Haha wamejikuta wamebaki madume tupuHuko pengine hamna wadada kabisa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ona sasa ninashindwa na hilo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] utashinda
shindano litakalofuata ni la mamiss lazima uwafunike
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109][emoji817][emoji419][emoji779][emoji625][emoji781]waliojivuta wamepoteza bahati kubwa.... Kesho dau linapanda
Niite kwanza dada chibonge [emoji1787][emoji1787]Nipe nipe nimuone nikiwa wet tu najitupia
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mpaka iishe ndio atakuja kutupostia picha.Huwezi amini hela tamu miminimama kanichunia mpk saa hii naamini ashaimaliza
Ona sasa ninashindwa na hilo.
Mimi ni mnene sema nina miguu membamba.
Sina bahati
Na kama kawaida atashinda maana wapenda mizigo wengi humu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mpaka iishe ndio atakuja kutupostia picha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] emu jiandae twende gym