Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,912
- 70,665
Mshana turithishane
Hebu uuanze basi uniachie mikoba dada
Hebu uuanze basi uniachie mikoba dada
Kuna mtu pia aliniambia nilivokuuliza akanipm akaniambia itakuwa ni .. na tumefanana midomo.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Midomo,mashavu hahahaha
HallelujahMshana turithishane
Tumeni tena hizo pic zitubariki na ss jamenJamani jamanii loveee
Haloooo. Kwanini tumekukosea nini Dada? Tusamehe[emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178]sio kwa uzuri huo
Unasemaje Marianah? Unataka nitume nini na kwa ajili gani?
Nisije nikala shaba maana kwa uzuri huo utakuwa umewekewa ulinzi toshaNjoo chukua
Nilivyokuwa nakuwazia umezidi jameni🙆🏽♂️[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa andaa mbavu za kucheka.Mpaka nione
Kwanini uifute tena?😂😂Mbona kama Haifutiki jamani
Jamani jamanii loveee
Hamna hata nyau wa kunilinda mimiNisije nikala shaba maana kwa uzuri huo utakuwa umewekewa ulinzi tosha
We nijaze tuuuNilivyokuwa nakuwazia umezidi jameni[emoji2303]
Yani we si kisu we ni panga aisee
[emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ilikuwa bado.Hahahahahaha
Hivi haijafutika jamanii
Hivi ningelia kilio gani nisingefanikiwa kumuona dada yangu mrembo hivi, na imagine na kale ka mwanya pale kati..!
HahahahahahaKwanini uifute tena?[emoji23][emoji23]