Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeah mwenyewe niliwaza kumtafuta ila nikaona nisije nikachochea moto zaidi! Maana mtu mwenyewe yule hajatulia akili zake anazijuaga mwenyewe!
 
Kibao kya ndesi kumbe ndivyo inavyofanyika
Yes tena anachofanya mfano wewe unapost picha zako nusu huku anazikariri! Halafu tuseme mimi nina picha zako full ambazo nyingine ulipost huku nusu halafu nikakupost Status akiona anaunganisha dots kuwa huyu ni Chakorii maana hii picha aliwahi ipost kule kwenye kuselfika so anaiiba anafanya yake!
 
Hahaha hakyanani nimecheka, imebidi nimwangalie yule dota wangu mwingine. Basi ana kazi sio kidogo manake hadi chogo dah!
 
Hii ni mbaya sana..hivi ni Kwanini asilipuliwe humu ndani ili hii tabia ikome??pengine labda kuna watu huko picha zao zines ambazo a na hawajijui..

Labda yaweza kusaidia akaacha huu upumbavu wake
Unamjua vizuri ingawa humjui ndiye yeye..ila unacheka nae sana jukwaani...be careful
Hii ni mbaya sana..hivi ni Kwanini asilipuliwe humu ndani ili hii tabia ikome??pengine labda kuna watu huko picha zao zines ambazo a na hawajijui..

Labda yaweza kusaidia akaacha huu upumbavu wake
 
Kazingua sana.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Woooiiiiiiii!!!!!...anasoma kimya kimya

Enwei hilo chimbo la nywele naomba unikumbuke tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…