Hizo hizo tunajenga wote baba paroko
Hatuna urembo wowote basi tu kuna mjinga mmoja akipata picha zetu wadada anasambaza si ujinga huo halafu mwanamke mwenzetu unasambaza unaoata faida gani au kuna mtu anakulipa
Hahaha kizuri wacha tukipe sifa yake tu ila haimaanishi kuwa kila kizuri nakipendaNimeona umesifia so nikaongezea swali karma
Halafu nyie nakujifanya mnasura za baba zenu wewe na shunieHahaha kizuri wacha tukipe sifa yake tu ila haimaanishi kuwa kila kizuri nakipenda
Huyo kazidi sana uzuri aisee kanizidi hata mimi na hii sura yangu ya baba sasa
Ukiwa naye huyo anakuwa km yeye ndio mwanamke SasaHahaha kizuri wacha tukipe sifa yake tu ila haimaanishi kuwa kila kizuri nakipenda
Huyo kazidi sana uzuri aisee kanizidi hata mimi na hii sura yangu ya baba sasa
Daah ahsante sana mama Muinjili.
Kwa kweli mbona sura za baba ndizo hizi hizi tunajishaua nazo kwa amani tu mtaani.
Acha baba paroko akipata picha ya mtu ni kusambaza unamjua flani ndio huyu inahusu nini utoto tuHivi kumbe ni kweli nilijua unatania, mtu anakuomba picha halafu bila ruhusa yako anampatia mtu mwingine picha zako mbona ni ujinga sana, maana utampa mtu picha yako kwa kumuamini halafu unakuja kuaikia mtu mwingine anayo ni ujinga sana, na ni tabia ya kipuuzi, sema jaribu kuwapa picha watu you can trust, wamaofanya hivyo ni ulimbukeni sana, hata mimi sijapenda hilo,
Usiogope tutajitoa muhanga wote baba parokoSadaka za waumini kuziiba ni kujitoa mwanga
Hakuna baba angu ana sura ngumu sura ya kiume jamaniHalafu nyie nakujifanya mnasura za baba zenu wewe na shuniemnazingu wakati nyie ni pisi kali, basi baba zenu wana muonekano mzuri sana
Hizo hizo tunajenga wote baba paroko
Hatuna urembo wowote basi tu kuna mjinga mmoja akipata picha zetu wadada anasambaza si ujinga huo halafu mwanamke mwenzetu unasambaza unaoata faida gani au kuna mtu anakulipa
Inasikitisha sana ndio jf yetu hii mtu anajifanya akujue akuzoee kumbe anachotaaiseee
Humu ndani unaweza shangaa tu watu wanafile lako la story tena za uongo,wanajazana tu huko.
Mtu Kama anataka kujua kitu toka kwako ni Bora akakufuata mwenyewe akakuuliza.
Na watu walivyo wajinga Sasa,hawakufuati muhusika kukuuliza,Wanaenda kuuliza sehemu nyingine na kujazana stories za uongo na wanakuja kuconclude humu Kama wanayajua maisha yako yote.
Hahaha mkuu unafikiri nakutania? Mie baba yangu siyo mzuri na ndiyo nimefanana naye copy hivyo mie siyo pisi kali wala sina uzuri wowote!Halafu nyie nakujifanya mnasura za baba zenu wewe na shuniemnazingu wakati nyie ni pisi kali, basi baba zenu wana muonekano mzuri sana
Yaani we acha tu! Taabu tupu!Ukiwa naye huyo anakuwa km yeye ndio mwanamke Sasamwanaume mzuri namna hiyo
Hasa sisi watu wa mbeya baba zetu Kama waliambizana tufanane nao
Hivi anadimpozi ee..ngoja nikamwangalie tenaNi mcute my dear! Akifuga ndevu ndiyo kidogo anaonekana kama mwanaume ila akizinyoa kama hivyo ni kama mwanamke!
Iwe ni mtana kwei 😍 teso nkuti kinhu chedi mameUzaanza
Mimi natamani mwanaume mzuri ili nisije kuharibu watoto kabisaYaani we acha tu! Taabu tupu!
From Mbeya with love
Enhe umeona enh wanaume wa kinyakyusa wana damu kali
Mke wangu amekua kua kidogo,?Ba mkwe naona unavyonijaza
Mbona hatualikaniView attachment 1656748
Front view
View attachment 1656750
Back View.. Orthographic projectionFirst angle
View attachment 1656751