Usijali mama mchungaji wangu nitakupeleka chimbo bei rahisi mno nywele ya laki 3 wengine wanauza laki 6 zipo kuanzia mpaka elf 50Ahsante sana mama Muinjili; umenifanya nikumbuke nilikwambia nitakuja tukanunue nywele amazing.
Hahhhah haki umenichekesha ujue, kwa hiyo kukuomba picha wenyewe wanaogopa au? Kwa kweli waje tu front wakuombe mwenyewe sio kupitia kwa watu.
Hahaaha nitaitoa kabisa babePunguza hiyo emoj tukuone vizuri [emoji85][emoji2098]
We Mbona unajiwekaga emoj likuuubwa mpaka unashindwa kupumuaPunguza hiyo emoj tukuone vizuri [emoji85][emoji2098]
Hahaha ameniambia jana mlikuwa wote usiku niliongea naeSalamu zimefika.
Sikuizi kawa mrembo mrembo kweli ata kutembea tu hawezi kujikaza.
Nasubiri [emoji7]Hahaaha nitaitoa kabisa babe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anne usinikimbie sasa ninavyotishaNasubiri [emoji7]
Ukitoa usisahau kunitag
Usijali mama mchungaji wangu nitakupeleka chimbo bei rahisi mno nywele ya laki 3 wengine wanauza laki 6 zipo kuanzia mpaka elf 50
Eenh anatafuta picha zangu anione shunie nafananaje jamani mtu mwenyewe na sura ya baba angu halafu mwanamke mwenzangu huyo apate picha yangu ili aisambaze vizuri
Njo pm niombe mwenyewe nakutumia jamani kwani picha nini hata kama nafanana na baba angu nakutumia tu
Beautiful mommah. [emoji3590][emoji3590][emoji3590]Zawadi yako ya birthday hiyo mama mchungaji [emoji847]
Habari ziwafikie wale wanaohangaika kutafuta picha yangu unataka picha yangu niombe mwenyewe sio kuhangaika kuomba omba picha yangu [emoji1787][emoji1787] View attachment 1656723
[emoji23][emoji23]Mimi picha zangu nyingi tu humu hazina emoj..We Mbona unajiwekaga emoj likuuubwa mpaka unashindwa kupumua
Hako karangi kanavyong'aa[emoji7][emoji7][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anne usinikimbie sasa ninavyotisha
Duuuh mam jomoneeh lol.Usijali mama mchungaji wangu nitakupeleka chimbo bei rahisi mno nywele ya laki 3 wengine wanauza laki 6 zipo kuanzia mpaka elf 50
Eenh anatafuta picha zangu anione shunie nafananaje jamani mtu mwenyewe na sura ya baba angu halafu mwanamke mwenzangu huyo apate picha yangu ili aisambaze vizuri
Njo pm niombe mwenyewe nakutumia jamani kwani picha nini hata kama nafanana na baba angu nakutumia tu
Ndiyo tulikuwa nae .Hahaha ameniambia jana mlikuwa wote usiku niliongea nae
Si unajua mtu ukishakuwa na hela kutembea tembea hovyo unaona uvivu
Thank you babe [emoji8]Beautiful mommah. [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Nimefanana na baba angu ujue sura ya baba kabisa hivi si unajua rangi zinatustiri [emoji1787]Hako karangi kanavyong'aa[emoji7][emoji7]
Huwezi kutisha[emoji23][emoji23]
Happy Birthday Dear HS..Thank you so much momma. So shall it be IJN
Umenikumbusha bibi yangu "sabidei"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo mambo ya biscuits sijamfundisha hataNdiyo tulikuwa nae .
Sikuizi kama mtu wa kula (Eeatsomemore) sjui zile biscuits
Sijui wewe ndiyo ulimfundisha?
Pesa anazo alikutumia ya Hennessy?
Basi aliniambia ni wewe nilimsema sana nilimkuta mixer na pipi za kijiti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo mambo ya biscuits sijamfundisha hata
Asinitumie mimi tena mshkaji wangu nimetoka nae mbali sana hatuwezi achana
Ouyeaaaah [emoji4][emoji4][emoji4]Thank you babe [emoji8]
Zawadi yako ya birthday hiyo mama mchungaji [emoji847]
Habari ziwafikie wale wanaohangaika kutafuta picha yangu unataka picha yangu niombe mwenyewe sio kuhangaika kuomba omba picha yangu [emoji1787][emoji1787] View attachment 1656723
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda kafundishwa na wa one night stand ananidanganya bure shunie mimi we endelea kumsema tuBasi aliniambia ni wewe nilimsema sana nilimkuta mixer na pipi za kijiti.
Kuachana najua hamuwezi kabisa.
Anakusifiaga sana "Kuwa yule mtu rangi yaani full package"