Hii ya kutolea mbona mnaikomalia hivi? Msitulaumu sisi muwalaumu wenye mitandao yao. Wakati mnaendeleza mazungumzo nao tafadhali msisahau na ya kutolea.
Hii ya kutolea mbona mnaikomalia hivi? Msitulaumu sisi muwalaumu wenye mitandao yao. Wakati mnaendeleza mazungumzo nao tafadhali msisahau na ya kutolea.
Niliposoma comment yako ilinibidi niombe tena mods wairudishe ile I'd yangu ukweli in kwamba ningetaka ningekausha na I'd yangu hii ya Nuzulati bila wapendwa kujua kwamba nilikuwa na I'd nyingine kabla.