Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimeamka poa, nilikua nanyoosha viungo kdg, then nimepita huku ,kabla sijapotea kdg then nikarudi baadae
Wow vizuri..
Nafurahi kusikia umeamka Poa rafiki yangu kipenzi.

Haya niambie utapotea baada ya muda gani kuanzia sasa ili nijiandae kisaikolojia
 
Mimi sina nongwa mkuu, sema tu nimeshtuka kusikia mpare anatuletea sijui niite shemeji.

Sasa nakuonya usiwaonyeshe hawa huyo bwashe, utaibiwa...sema nini, hata wao wataogopa kukuibia [emoji23][emoji23]wameelewa!!
Wallah me nimecheka nusu nife khaaaaah, iv nyie mnadhan me n kidampa ivo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu hamuwez amin nguvu zangu zipo hapa kwa kibodi, ila in real life ts differ kabisaa,
Af me n introvert aaan.
Relaaaaaaaaaaaaax shemelaaaaah.
 
[emoji29][emoji29]
 
Inasemekana lakini [emoji38][emoji38][emoji38]ukikutana na ile kitu ni kakamavu inapiga pande 4 za dunia....[emoji2957][emoji2957][emoji2957]dada tuchat
Aiseee!!...umeandika kwa ujuzi sana mkuu.

Utakuwa ulishaga kutana na kitu kakamavu inapiga pande nne za dunia.

Hivi niniliu ina pande nne za dunia?

Nauliza tu Chakorii

Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
 
Fundi wa kusukuma nyama [emoji1][emoji1]

Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
 
Hiyo sifa ninayo mkuu

Mimi mrefu na mwembamba kiasi ila sina mguu wa mtoto/watoto[emoji1][emoji1]

Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…