Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Unajua wapi mimi na wewe tutakutanaš„hahahaha, Rafiki mie siwezi weka picha yangu humu, maadili hayaniruhusu
Unajua wapi mimi na wewe tutakutanaš„hahahaha, Rafiki mie siwezi weka picha yangu humu, maadili hayaniruhusu
Hahahaha zana zimenifanya nijiulize Leo Rafiki ana friend game nini?Nilikuwa supamaketi ni kazi ona nikasema ngoja nikuletee..acha na hizo dhana za kilimo kwanza.
Hujambo!
digidigi gani aliyekuficha kipenzi changu rafiki
Hii dhambi mpya hiiUnachochea
Basi nimeifuta , RafikiHii dhambi mpya hii
Ila mechi za kirafiki zinakuwaga konkiii..Hahahaha zana zimenifanya nijiulize Leo Rafiki ana friend game nini?
Hakuna digi digi wa kunificha Rafiki
Hahahaha, hata sijajua bado, wapi tutakutanaUnajua wapi mimi na wewe tutakutana![]()
Wewe niletee dhambi nzuri nzuri hii dhambi ya bei rahisi sanaBasi nimeifuta , Rafiki
Hahahaha, unanichora we na mwenzio, mnasahau kuwa mm ni MasterHivi ndo vitu vya kuongea sasa..
View attachment 1650397
Pa kuanzia ni kule...tutatafuta sehemu nyingine mbeleniI hukooHahahaha, hata sijajua bado, wapi tutakutana
Hahahaha, kweli Rafiki mechi za kirafiki huwa tamu sanaIla mechi za kirafiki zinakuwaga konkiii..
Umejiona wazo nitalifanyia kazi.
Sasa mbona jana ulipotea!!
HahahahaPa kuanzia ni kule...tutatafuta sehemu nyingine mbeleniI hukoo
Hunipi tabu..master nakupata kwa ukaribu mnoš¤Ŗš¤Ŗš¤ŖHahahaha, unanichora we na mwenzio, mnasahau kuwa mm ni Master
Naelewa rafiki yangu usijali.Hahahaha, kweli Rafiki mechi za kirafiki huwa tamu sana
Huwa nakua tyt sana Rafiki kipenzi ,nivumilie km nitakua nakosekana kwa wakati
Hahahaha, hilo neno konki toaHunipi tabu..konki master nakupata kwa ukaribu mno![]()
Ndio Maana NAKUPENDA RAFIKI ,we muelewaNaelewa rafiki yangu usijali.
Hakuna kitu inaharibika![]()
Nishatoa kipenzi changu.usichukie sawa eee....eheeeHahahaha, hilo neno konki toa
Hapo sawa kipenzi ,kwanza umeamkaje kipenziNishatoa kipenzi changu.usichukie sawa eee....eheee
Sote ni waelewa..NAKUPENDA PIA RAFIKI yanguNdio Maana NAKUPENDA RAFIKI ,we muelewa
Nimeamka poa sana namshukuru Mungu..sijui wewe kipenzi changuHapo sawa kipenzi ,kwanza umeamkaje kipenzi
Nimeamka poa, nilikua nanyoosha viungo kdg, then nimepita huku ,kabla sijapotea kdg then nikarudi baadaeNimeamka poa sana namshukuru Mungu..sijui wewe kipenzi changu