Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Hapa sasa umechamba mdogo wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ina maan humu ndan wa2 wote mna nongwa kuhus me kuwa mke wa m2?
Jomoneeeh huyo mpare kwangu amefika, amezama, amekufa, ameoza, uwiiiiiiii chezea mie toto la kingoni,
Afu ukute n mwanao sasa, nshakua ndugu na nyiee huko Chuga.
Hallow mbna pambeeeeh
Hebu nifundishe kilugha kwan, ili niwe namnenea kwa lugha, kunako 6 ×6.
Waleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
Hebu rudisha mwandiko wako masaki bana