Ila nikuambie tu;
Changamoto Katika maisha ni kawaida na wewe si wa kwanza kuzipitia.
Hakuna changamoto inayompata mtu nje na uwezo wake,pia kulia hakujawahi kuwa suluhu ya changamoto.
Amini Mungu atakufanikisha na utapita kwa ushindi kabisa.. kikubwa usikate tamaa maana Mungu anatengeneza njia mahali ambapo wewe huoni njia wala tumaini kabisa na Amini hakuna linaloshindikana.
Ukijiona useless unakosea sana maana wewe ni wa maana sana.