Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee mwembamba, una tu mguu twa soda,[emoji2957] una kiuno nyigu, mgongo flat iv, tumbo flat pia[emoji2][emoji2] una uso mrefu na macho kma unaangalia chini[emoji846][emoji846] ..afu nikwambie kitu, suruali azikupendez mwaya, pigilia vigauni vya kushona vile day utatisha kinoma ..[emoji3][emoji3]

Em nichek PM tubonge zaid namna ya kuvaa..[emoji6][emoji6]
Umesahau mkuu Ollachuga Oc

Ana kifua kimetuna kama twiga ananyonyesha[emoji3]

Nakazia tu......

Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni kwa nini humu kuna Wanyaki wengi hivi?

Heaven Sent
Karma
Soulimeti
Mtakatifu Ana
Jael

What is going on nyie Wanyaki? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mie mjaluo bwana, sio mnyaki.
Hakuna mnyaki mpole kama mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kwahiyo ndo unataka kupitia kwenye comment kiingie tumboni si ndio..

Chizi kabisa[emoji38][emoji38]
Hapana silazimishi kupitia kwenye comment kiingie tumboni

Nalazimisha kipitie sehemu uhusika kiingie tumboni

Comments na kichanga wapi na wapi ndugu?[emoji1]

Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
 
Wee mwembamba, una tu mguu twa soda,[emoji2957] una kiuno nyigu, mgongo flat iv, tumbo flat pia[emoji2][emoji2] una uso mrefu na macho kma unaangalia chini[emoji846][emoji846] ..afu nikwambie kitu, suruali azikupendez mwaya, pigilia vigauni vya kushona vile day utatisha kinoma ..[emoji3][emoji3]

Em nichek PM tubonge zaid namna ya kuvaa..[emoji6][emoji6]
Duuh am speechless mkuu, ila suruali ndiyo napendelea zaidi.ila ntajaribu na magauni pia ahsante.
 
Back
Top Bottom