Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Upo vizuri...

A0C7AF90-A05E-42F7-9FD2-12CA332ABA58.jpeg

 
Ndo mana ndoa nyingi siku hizi zinavunjika kwakwuwa watu wanafunga ndoa na maumbo

Kama kuna unaemjua huko anataka kutangaza uchumba kipande hii kwa kingetokea cha umbo,,mwambie hapana nashukuru

Jirani yangu usiwe na papara baba wali ni lazima ule afe beki afe kipa.

Kudadeki umenichekesha sana
 
Aibu ya nini sasa jamani? Mimi natamani unenepe nenepe kidogo, sio kwa hips don't lie lile na kiuno nyigu doooooh. Yangu napost hapa hapa soooooon
Hapa hapa sooooon na mimi nasubiria kuona/kukuona

Maana sijawahi kuthubutu kukutwa na picha/sura yako mkuu Heaven Sent

Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom