Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,809
- 182,979
Vitoto vya siku hizi[emoji119][emoji119][emoji119]Unazidi kuharibu, how dare you to call me that [emoji3525][emoji3525][emoji45][emoji45]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ninafurahi kusikia hivyo.Vizuri sana kama ni salama
Mimi ni mzima wa afya na nipo salama kabisa mpendwa.
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Uachage kunisingizia mambo mazito we mtoto, halafu umeelewaje kwani?[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Kumbe na wewe una kichwa kibovu hivi
Basi sawa.Sawa bwana naona unanipa jina baya mimi mbwa ili uniue
Wapi unanyanyasika we kiumbe😅😅
🥂🥂🥂🥂🥂🥂🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️Ok Time is up, nishaingia shamba tayari.
See y'all guys✌️✌️
Hapo kwenye japo siyo vyepesi mkuu umekaza sana[emoji1]Usikate tamaa fight for what is yours n right for you. Japo sio vyepesi kiongozi
Dada nateseka sana[emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fufuka tu mdogo wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uachage kunisingizia mambo mazito we mtoto, halafu umeelewaje kwani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kunena na chochote kile utakachoona kinafaa kutumiwa/kupokea hela na kutoa na kutumia.Ninafurahi kusikia hivyo.
Leo naomba uweke ugali na mboga za kienyeji mapema .utabiri wa hali ya hewa unaonesha leo njaa itawahi kuniuma na mfukoniI sina doo
Hakika
Ina maana hapo siku shepu ikibadilika hatakupenda tena.
Yeah!!...jamaa atakuwa na kichwa kikubwa sana[emoji1][emoji1]
Hahahahaha......Wapi unanyanyasika we kiumbe[emoji28][emoji28]
Kwanini unyanyasiki sehemu wewe...
Unampenda,anajua unampenda,umeshamwambia kuwa unampenda na hakuelewi!??
Kijana piga chini hizo hisia juu yake,,mapenzi majani huota popote...so kaote hata mlimani huko waaaaaiiiii
Na umerithi kwa baba yako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ili kusudi useme na mimi nina kichwa kibovu akha