Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,750
- 182,848
Nimeshatia guu hapa sitoki.. mpaka nioneMacho ndo kila kitu naanzaje kutokuweka sasa..
Nitaweka usiku wa manane leo usilale🤓🤓
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Leave my dota alone!
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Usibanduke mkuuNimeshatia guu hapa sitoki.. mpaka nione
Nimeambiwa nikulivu. Nimekulivu aloni.[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Siyo ndiyo unisuse sasa jamani
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
[emoji8][emoji8][emoji8]
Sawa.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Halafu nikisema haunipendi unaona nakusingizia
Mhmhhhh hii mashine ni noma, jirani hii ni wewe au napotoka na macho yangu
Safati juu ya safari[emoji589][emoji589]View attachment 1645488
Umepotoka jirani yangu sio mimi huyo.ni kwa msaada wa internet ndo mana ikafika hapa ilipoMhmhhhh hii mashine ni noma, jirani hii ni wewe au napotoka na macho yangu
😅Naanzaje kwa mfanoUsibanduke mkuu
Dah!!....Kwa kweli uvumilivu unaelekea kunishinda/kwanza ushaga ni shinda tayari maana huwa naonyesha dalili zote nyemelezi za kuelemewa na hisia kwako ila mwenzangu ndo kwanza huna muda[emoji1][emoji1]
Nishakuonaga siku nyingi mbona...🤪🤪sio muda sina,,,hata Habari pia sipatiDah!!....Kwa kweli uvumilivu unaelekea kunishinda/kwanza ushaga ni shinda tayari maana huwa naonyesha dalili zote nyemelezi za kuelemewa na hisia kwako ila mwenzangu ndo kwanza huna muda[emoji1][emoji1]
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Hahahaha....kwamba hata habari hupati[emoji1]Nishakuonaga siku nyingi mbona...[emoji2957][emoji2957]sio muda sina,,,hata Habari pia sipati
Msukuma umenisikitisha na kunichekesha kwa pamoja. Pambana mpendwaDah!!....Kwa kweli uvumilivu unaelekea kunishinda/kwanza ushaga ni shinda tayari maana huwa naonyesha dalili zote nyemelezi za kuelemewa na hisia kwako ila mwenzangu ndo kwanza huna muda[emoji1][emoji1]
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app