Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,789
- 182,961
Kumbe!!!Yeah!!...jamaa atakuwa na kichwa kikubwa sana[emoji1][emoji1]
Just kidding
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Kwahiyo unahisi nitalegea mkuu😅😅😅😅nicheke mieHapo kwenye japo siyo vyepesi mkuu umekaza sana[emoji1]
Ila hamna namna wacha nikomae nae atalegea/legeza tu
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Wacha bhana 😁😁
Nena na roho mtakatifu msukuma wewe🤪🤪Naomba kunena na chochote kile utakachoona kinafaa kutumiwa/kupokea hela na kutoa na kutumia.
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Hahhaha ukaona mimi ndo nina mbolea ya kutosha sio[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha......
Imeisha hiyo wacha nitafute pakuotea
linahbaby naomba kuota kwako
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Yesu wangu[emoji38][emoji85][emoji86][emoji86]Mdogo angu zile picha za weight loss mbona kuzifuta mapema jamani? Ndiyo nilikuwa nazisave nashangaa sizioni
Hahahaha.....ndiyo mkuu nimeona bora niote kwako.Hahhaha ukaona mimi ndo nina mbolea ya kutosha sio[emoji23][emoji23][emoji23]
Saint AnneYesu wangu[emoji38][emoji85][emoji86][emoji86]
Uliziona??
Tuchange
Eheee kaote huko huko baba..kila la kheriHahahahaha......
Imeisha hiyo wacha nitafute pakuotea
linahbaby naomba kuota kwako
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
We mchizi unatuvimaneno vyako konki sanaHahahaha.....ndiyo mkuu nimeona bora niote kwako.
Hata kama huna mbolea ya kutosha tutatumia mbolea yangu[emoji1]
Naomba unipokee kama nilivyo
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
MmmmmmmmmmhWe mchizi unatuvimaneno vyako konki sana
Hahahaha.........Eheee kaote huko huko baba..kila la kheri
Unaumwa jino
Yesu wangu[emoji38][emoji85][emoji86][emoji86]
Uliziona??
Mungu wangu[emoji85][emoji85][emoji2098]Na kwa nini nisizione sasa? Nimesikitika tu sikuzisave
Naam
Hongera mdogo angu, upo vizuri kwa kweli. Ile ya pili niliielewa sana, kama vipi naomba tu unitumie PMMungu wangu[emoji85][emoji85][emoji2098]
Nazidi tu kuwa miss mbeya[emoji38]