Technologiest
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,728
- 4,058
Uhuru day
Just chilling home.
Just chilling home.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa boss
Hope itakuwa kumpamba mkeo au[emoji4]
Unawachanganya watia nia sasa, unakosa mchumba hivi hiviUmepotoka jirani yangu sio mimi huyo.ni kwa msaada wa internet ndo mana ikafika hapa ilipo
Hata kustuka sidhubutu arifu..vyakula vyako vyenyewe ni mtihani..akuuuuuuu mieHahahaha....kwamba hata habari hupati[emoji1]
Hata kusituka huwa husituki?
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Zinatakiwa zirudi kwenye mzunguko hizo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwee
Chizi sana we msukuma 😅😅Teh!!...Kila nikiweka mkeka unachanika.
Kwa kweli wacha nipambane maana nimechoka kuendelea kufa na utamu wangu kama muwa
Kwema lakini mkuu Heaven Sent
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
😅😅😅😅😅 endelea kujipa matumaini utayashinda majaribu 🤓🤓🤓🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️Vizuri sana kama ni kwema kabisa mpendwa
Sawa wacha nipambane maana naamini kuwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Karibu
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Naomba hizo za vibunda bunda mkuu wangu
Ndo mana ndoa nyingi siku hizi zinavunjika kwakwuwa watu wanafunga ndoa na maumbo😩😩Unawachanganya watia nia sasa, unakosa mchumba hivi hivi
HakikaNdo mana ndoa nyingi siku hizi zinavunjika kwakwuwa watu wanafunga ndoa na maumbo[emoji30][emoji30]
Kama kuna unaemjua huko anataka kutangaza uchumba kipande hii kwa kingetokea cha umbo,,mwambie hapana nashukuru
Jirani yangu usiwe na papara baba wali ni lazima ule afe beki afe kipa.
😂😂😂Babeq...
Si ndo hapo sasa...haya mambo hayaHakika
Ina maana hapo siku shepu ikibadilika hatakupenda tena.
Amina [emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] endelea kujipa matumaini utayashinda majaribu [emoji851][emoji851][emoji851][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Binafsi nimemka poa/salama kabisa mkuuHopefully wote mmeamka salama humu ndani