Heeeeeh dea, yaaan mambo n mengi mda mchache, bas najibana tyuuuh ivo,
Mie mwenyew nmekumiss had naumwa,
Huyo daddy alivokua bizzy lol, nkajua nae yupo songea kweny lindo la kupinga al- shaabab huko mitomoni.

Aiseee mimi bia zangu pendwa ni Safari na Balimi yaani hauniambii kitu! Ila cha ajabu watu wananishangaa wananiambia eti nakunywa vitu vizito wakati mie naziona tamu na za kawaida tu!