Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

64A0416E-8325-43B2-82DD-67B48D58184C.jpeg
 
Hujakosea brother...leo nilienda beach moja hivi maeneo ya mjimwema nikapita hapo..nikasema isiwe tabu.

Kila nikipitaga hapo natamanigi nilale tu kwenye hiyo garden loh[emoji8]

Nzuri sana kuna garden nzuri sana hapo pia i recommend ukitaka kununua maua ya urembo ama miti ya matunda kwa ajili ya nyumba yako nunua hapo....
 
Back
Top Bottom