Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Sasa na uzuri wenyewe hata JF hayupo..We huwezi kujifanyia tathmini? Akija akaongea tofauti si itakuvunja moyo!
Angekuwepo akatoa majibu ya kunivunja firigisi,utumbo,bandama,kongosho,mawashiwashi na mengineyo😅😅ningefurahi snaa maana ningejituma zaidi ya mwanzo huku nikisindikiza na maombi ya siku tatu kavu mlima sayuni..Hallelujah








