Selfika na JF: Snap it. Show it

Eti kumtoa Espy JF hivi kwanini lakini unamfanyia hivo mama yako

Kile kipindi mie huwa kinanichekesha tu kwa kweli! Huwa najiuliza wanavyochaguana tu kirahisi vile huwa wanadumu kweli!
 
Eti kumtoa Espy JF hivi kwanini lakini unamfanyia hivo mama yako

Kile kipindi mie huwa kinanichekesha tu kwa kweli! Huwa najiuliza wanavyochaguana tu kirahisi vile huwa wanadumu kweli!
Hahaa nasubiri tu siku yake.

I wish siku moja waje watupe feedback ya mahusiano yaliyotengenezwa humo. Hivi uliangalia ile ya kadada kimbaumbau afu akaenda kuchagua bongeee; nilichekaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…