Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Wa nyuma ni pisi kaliDada zangu hawa, chagua nikupe yupiView attachment 1640759
Wa nyuma ni pisi kaliDada zangu hawa, chagua nikupe yupiView attachment 1640759
Ndio mpendwaUtamuweza![]()
Muulize kwanza kama tutawezana na huyo bro wakoDaah bro wangu ana ruhusiwa kuja kuleta posa wifi nitafaidi mapochopocho
Jirani ulikuwepo wakati naposwa!nitakufumua ujue 😆😆Mke wa mtu huyo![]()
Acha maswali we kula chakulaUnakula wapi jirani, mambo ya msosi unapenda wewe kama mimi
Mtawezana na hakikaMuulize kwanza kama tutawezana na huyo bro wako
Shangaa na wewe anataka kumzibia pisi Kali bro wanguJirani ulikuwepo wakati naposwa!nitakufumua ujue 😆😆
Halafu simu yako mbovu wapi weweSimu yangu mbovu haina uwezo wa kuweka picha baba naniii vile
Kwani nuzulati picha yangu umichukua ya nini, haya rudisha harakaShangaa na wewe anataka kumzibia pisi Kali bro wangu
Hawatawezana tulia tuliaMtawezana na hakika
Hebu tulia chali anguMuulize kwanza kama tutawezana na huyo bro wako
Sijawahi kudanganyaHalafu simu yako mbovu wapi wewe
Nilikuwepo na mimi ndiyo mshengaJirani ulikuwepo wakati naposwa!nitakufumua ujue![]()
Ile picha uliyovaa ki min skirt chekunduSijawahi kudanganya
KumbukumbuKwani nuzulati picha yangu umichukua ya nini, haya rudisha haraka
Litakukuta tukio jirani ohoo😅😅Nilikuwepo na mimi ndiyo mshenga
Hivi mbona una kiburi hivyoAcha maswali we kula chakula
Sawa mpendwa wa mwendo kasiNdio mpendwa
😆😆😆😆😆😆😆umenichekesha we mtu ujue..eti ninakaburi😅😅Hivi mbona una kiburi hivyo