financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,503
Kumbe mziwanda ndiyo maana unahisi duniani upo mwenyewe unavodeka(lastborns mna shida sana)😀😀, kuwa makini huko shamba usije ukatupandia mchele na mpunga 🏃♀️Mi mtoto wa bush wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena nimezaliwa kijijini.
Kudeka kupo maana mziwanda ni mziwanda tu Ila ratiba ya kwenda shambani iko palepale na mwaka huu lazima niende kupanda.