Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,268
- 95,544
HahahahaBora uwe dereva aise..ukonda utanipiga fweza sana [emoji16][emoji16]
HahahahaBora uwe dereva aise..ukonda utanipiga fweza sana [emoji16][emoji16]
Kasabuni ka Eva sjui wanavitoaga wapi?Dodoma mko vizuri sana!!!Mpaka toothbrush na dawa [emoji1487][emoji1487][emoji1487]View attachment 1637984
Kili ki avatar chako cha kamdada kazuri, hii sasa unanipotezaMimi hata Mbeya niliwahi kukuta hivyo nikasema wako vizuri wanajitahidi
Okey okey mdogo wangu kipenzi, graduation [emoji310] nikaikosa hivi hiviNi nature ya eneo lenyewe lipo hivyo.
Ni kame,hata hizo chemchemi hazipo na si kama hawana mabomba nyumbani.
Hata vikichimbwa vinakauka.
Haizidi sound K for...Katika vitamu hii ngoma imoView attachment 1638070
Sijui kwanini mimi siwezi kula zaidi ya kipande kimoja, inakifu haraka sana.Katika vitamu hii ngoma imoView attachment 1638070
Asante mpenzi. Hali ya hewa imetulia 😍
Sio kama lile tanuru lenu[emoji28][emoji85]Asante mpenzi. Hali ya hewa imetulia [emoji7]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Karibisha wote basi, kwa nini Lizzy peke yake? Hata mimi niko Dom saivi...
Nimekumiss cha ubishi
Yaani nimewazaaa huyu ni nani mpaka basi, kwanini kunitesa hivyo wewe mtoto? Ndio ukaamua ufichweeeee mpaka ukafichika!!Nimekumiss cha ubishi
Duh! Mimi ata box 3 nakulaSijui kwanini mimi siwezi kula zaidi ya kipande kimoja, inakifu haraka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
I mic you more mom...
Huyo ni hawachi eeeh....Yaani nimewazaaa huyu ni nani mpaka basi, kwanini kunitesa hivyo wewe mtoto? Ndio ukaamua ufichweeeee mpaka ukafichika!!
Nilikumiss pia mama, karibu tena. Tubariki basi na kaselfie jamani[emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app