Mapico
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 569
- 1,319
Good Natural black hair alot of Vitamin na matunzo mengi mengi
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Good Natural black hair alot of Vitamin na matunzo mengi mengi
Tunafuata na tumeipa..kwani shida iko wapi???Kuna maeneo bado maji mnafuata kuchota ng'ambo ya pili, na bado mkaipa green five
Good Natural black hair alot of Vitamin na matunzo mengi mengi
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app

Rafiki nasemaga wewe wa kishua unakataa
😅😅mimi huyu sasa..Rafiki nasemaga wewe wa kishua unakataa
Nzuri za wewe mrembo mwenye msimamo wakeHabari za masiku dada
Hata huyo samaki ni testilesi?




Wa kishua hamsemagi sijui kwa ninimimi huyu sasa..
Usiniambie mimi ni wa kishua.niambukize basi huo ushua rafiki yangu kipenzi



Nimeshajitokeza tayari mkuu
Kila kitu!!!!!😬😬😬Hata huyo samaki ni testilesi?![]()
Mpendwa hujambo?Nzuri za wewe mrembo mwenye msimamo wake
Utakuja na passo au ile iPhone 12 na maua ya helahela?Nimeshajitokeza tayari mkuu
Mpendwa hujambo?
Za siku nyingi??
Tumekumiss sana
Nitakuja na ki ahsante naniiUtakuja na passo au ile iPhone 12 na maua ya helahela?
Kwa nn mkuu?Muonekano mzuri but tasteless 😒😒😒
View attachment 1637692
Ndipo nkamuNkamu ulipo??