Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20201031_202200.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa huwa akili zinawachangamka sana!!

Mi huwa nafurahia sana ile moment ya "What did I tell you?? "
Next time ukimwambia leo kunyoa, utaona pilika pilika zake ha ha...mimi kama negative experiences siyo mbaya namuachia dogo ajitusue mwenyewe afahamu vizuri dunia inavyoenda

mf. Dogo nilimwambia hamna kuangalia TV weekdays, akirudi anamkazia dada anaangalia dada hasemi, hiyo siku nimerudi home kabla hajarudi shule nikapaki gari mbali kabisa na home asijue nipo home ili akumbane na consequences za tabia zake...karudi anamuendesha kama yeye ndie baba, kawasha tv, dada akimuambia zima tv, anamjibu mbovu afu anamwambia ukimwambia baba nitakunyima hichi, kile...

nikatoka room alikuwa mdogo balaa nikachomoa card ya king'amuzi miezi 3, nikampangia na kazi za kufanya na makofi akala, siku hizi yuko maki i kweli na maelekezo
 
Safi sana 👊👊👊👊 maana hawa madogo usipowakazia wanaweza kuendesha watu wakubwa kama vile wao ndo wenye mamlaka. Haswa wakikutana na watu wapole kama huyo dada yake dogo....eti ntakunyima vitu 🤣🤣🤣 kalikuwa kanajiona kaboooooss kenyewe.

Mie siku hizi fimbo nimepumzika sana...nimegundua kwamba GROUNDING ni much more effective. Yani anajikuta anarudi kwenye mstari mwenyewe bila kupenda 😁😁
 
Back
Top Bottom