Mwe mwe mweeeh!!!Nina dhambi nyingi lakini hii sio yangu..Hii yako mama..Umesambaratisha familia..
Naomba[emoji39]
Leo ndiyo nimekufahamu bro
Chukua...🙂🙂Naomba[emoji39]
Mwe mwe mweeeh!!!
Sitaki kuamini umenisakazia hili balaa lako[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hapo.Ebu tupia kapicha..Haya mengine tutaongea kwenye kikao cha familia..
Dah hongera sana mkuu [emoji2][emoji2][emoji2]Makenya ndo masagamba mkuu..Ehee hayo ninayo mengi sana.na hapo hunajayaona vizuri
Huyu dada mpya nipe no yake niwe nawaleta mwenyewe watoto nyumbani, mimi ni mlinzi wa pale getini [emoji3][emoji3][emoji3]Mi mwenyewe najikaza siku 2 3 hizi,huyu dada mpya akishazoea Basi Atakuwa anampeleka .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Makalio yako..Sio jukwaa la dini hili..
Mkuu inaonesha wewe ni mfupi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au nakosea
Haunihusu..Sipo kwenye umri huo..Japo ni muhudhuriaji mzuri sana wa church..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si mbaya ukiupata huo ujumbe murua kabisa na asubuhi yako ikawa yenye baraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha bwana!!Haunihusu..Sipo kwenye umri huo..Japo ni muhudhuriaji mzuri sana wa church..
Sana tu!!!! Kwa swali lako la kwanza that is 🙂Mkuu inaonesha wewe ni mfupi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au nakosea
Show case imejaa... umeitendea haki