Sana anko.Mungu wetu ana siri kubwa juu ya maisha yetu
Hahaaaa sio sana baba, hamn ng'ong'ng'o hapo ya kushitua![]()
Sawa mama, plate namba D sio mbayaWa k vant basiWa soda huo bwana

Ugomvi huo unautafuta kwa mjubamguu laini kupita wangu
Fuga mbwa mzee babaKweli mkuu nitazingatia Tena ilikuepo kubwa wahuni waliruka nayo ikanikatisha Sana tamaa
Namuona mnyama kazi pale katulia, kiboko ya majirani wasumbufu 😂
Kama umeziokota kilingeni ankal naomba tubadilishane na mtetea mweupe😁😁Ankal zinauzwa kama zilivyookotwa kilingeni
Juicy fruit 😍😍😍 we mwanamama hakika mungu aliumba! Very beautiful indeedNawatakia j2 njemaaaaaaView attachment 1611426
Huyu niliyenae anamatege,makengeza macho yake yote yanaangalia kushoto,Huyu yeye naona anabanja sana ankal..Vipi kwa unavyoona atafaa kweli!Anatakiwa awe na matege na mafua ya kikohozi chenye kigugumizi kikavu sana ankal