Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,388
- 176,255
Hivyo ndio vina afya, muongezee na viazi vitamu na mihogo.Lirudie tu bana; mkweo kachoka kula magimbi na chai
Hivyo ndio vina afya, muongezee na viazi vitamu na mihogo.Lirudie tu bana; mkweo kachoka kula magimbi na chai
Hivyo ndio vina afya, muongezee na viazi vitamu na mihogo.
Mwambie daktari hashauri.Weee amesema eti anataka na vya kukaanga kidogo
Mzee mamba complex december panasomeka?Msosi unavutia sanaa...ila mimi nataka nyama ziwe nyingi
Mwambie daktari hashauri.
Kama kawaida mkuu...nitakuchek pmMzee mamba complex december panasomeka?
Hizo ni nyumba na si maweMji gani tena huu jamani ? naona mlima wa mawe km kijijini Chemba Kondoa
Huku Kama Pangani TangaView attachment 1632549
Bahari ya hindi kwa mbali,wakali wa location kazi kwenu..
Hizo ni nyumba na si mawe
Siyo Mwanza bosskumbe basi tembea uone mm nilijua ni Chemba kumbe Mwanza
Ni Mbeya Mjini hapo mkuuMji gani tena huu jamani ? naona mlima wa mawe km kijijini Chemba Kondoa
Napenda sana mapaja lainiiiiiiii.
Umeshawahi kukaa Tanga ohhh noooo utakua na utundu weweeeeeHuku Kama Pangani Tanga



Au ni tecno yangu hii inatoa nyumba kama maweNi Mbeya Mjini hapo mkuu
Zile ni nyumba siyo mawe






