Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
😜😜😜😜Kuna vyakula vina bahati yaani. Hapo kitashikwa shikwa tu na kuachwa dah![]()
Shimba I did my best!! Vibakuli vyote vilibaki empty 😌😌
😜😜😜😜Kuna vyakula vina bahati yaani. Hapo kitashikwa shikwa tu na kuachwa dah![]()
Aaaa wapi! Kamba tu
Shimba I did my best!! Vibakuli vyote vilibaki empty![]()



Limashine lyagopalela mapanda bhageshiLimashine la kuchimbia ma nini hili bageshi? Nangī malwinzī ga maguta Gang'wanengelo?
Mwanaume wa Dar

Natamani kuja kwenu

Kwenye Lami.Wakali wa location ? Wako hiyooView attachment 1628778
Wasukuma bhanaLimashine lyagopalela mapanda bhageshi
😃😃......unadhani kuna cha maana basi 😏😏 Mbwembwe tu.....Natamani kuja kwenu![]()
Yep, dar ndio home. Gotta problem son?Mwanaume wa Dar![]()
Nazipenda izo izo......unadhani kuna cha maana basi
Mbwembwe tu.....
Bhasukuma dokenya/dohoba keyi nkoiWasukuma bhana
Mwenyeji wa wapi mimi nipo Nyamilama ukuBhasukuma dokenya/dohoba keyi nkoi
Vipi kwema lakini mkuu
Mimi mwenyeji wa Bariadi-SimiyuMwenyeji wa wapi mimi nipo Nyamilama uku
KwimbaMimi mwenyeji wa Bariadi-Simiyu
Nyamilama ipo wapi?
Sijapata mtu wa kunificha, nikimpata nitaanza kumficha yeye kwanzaNi la kufanya niwe karibu na English figa
Hivi jirani mbona unapotea potea sana nani amekuiba huyo nimfuate nikaliamshe
Asante mkuuOoh!!sawa mkuu
Karibu
Hivi nani ajitokeze aniletee haya macho matatu bure kabisa kama rafiki yake wa kawaida kabisa 😅
Sasa kama hajapata wa kukuficha mbona umekuwa adimu sasa jiraniSijapata mtu wa kunificha, nikimpata nitaanza kumficha yeye kwanza
Nipo hapa niite uoneSasa kama hajapata wa kukuficha mbona umekuwa adimu sasa jirani