T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,090
- 30,487
Maisha ni haya haya tu mkuu wangu wacha nile vizuri maana nikifa nitaharibika mno [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ELY unakula vizuri mkuu!
Vipi kwema lakini Eli79
Maisha ni haya haya tu mkuu wangu wacha nile vizuri maana nikifa nitaharibika mno [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ELY unakula vizuri mkuu!
ChakoriiChizi kabisa wewe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]eti unafanyaje ukifa??we jamaa wewee
Kwema kabisa Ely.Ndiyo na udaga kwa mbali....
Vipi kwema lakini mkuu
Nimeipenda hii ,ya kuitanaElly
Hujambo mkuuElly
mtu chakeNimeipenda hii ,ya kuitana
Sijambo Habari yakoHujambo mkuu
😅😅😅😅unamabalaa wewe ujue!!Nimeipenda hii ,ya kuitana
Hahahaha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]unamabalaa wewe ujue!!
Yana ccmMaendeleo hayana chamaView attachment 1628561
Habari ya njema/salama kabisa mkuuSijambo Habari yako