T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,928
- 30,075
Akhsante nakaribia mkuuView attachment 1628707Karibuni chukuchuku la kibabe kabisa
Akhsante nakaribia mkuuView attachment 1628707Karibuni chukuchuku la kibabe kabisa
Jamaa unamakusudi wewe😅😅
Makusudi gani tena mpenzi?Jamaa unamakusudi wewe![]()
Hebu toa hilo neno mpenzi kwanzaMakusudi gani tena mpenzi?
Hivi neno MPENZI kwako Chakorii huwa unalichukuliaje?Hebu toa hilo neno mpenzi kwanza
Huyo kwiyo wa kienyeji
Nijuavyo mimi si rahisi kwa mwanaume kumwita mwanamke ambae si mpenzi wake mpenzi.ndivyo ninavyoichukuli tofauti wa wanawake
Hili chukuchuku ni la kutunza english figureView attachment 1628707Karibuni chukuchuku la kibabe kabisa
Ni la kufanya niwe karibu na English figaHili chukuchuku ni la kutunza english figure
Maendeleo hayana chamaView attachment 1628561
😁😁😁😊🙈OMG, Vyote vinafaa sana.
Kuna vyakula vina bahati yaani. Hapo kitashikwa shikwa tu na kuachwa dah



Limashine la kuchimbia ma nini hili bageshi? Nangī malwinzī ga maguta Gang'wanengelo?Maendeleo hayana chamaView attachment 1628561