Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20201118_105016.jpg
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]yani jirani nijikute tu [emoji38][emoji38][emoji38]”eti jirani njoo huku”ulisikia wapi jirani yangu..ndo mwanzo wa kuanza mtafutano we tulia huko huko baba nitakuwa nakutumia salamu[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Usiogope we niite tu hutanogewa....
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kweli jirani yangu hadi wewe unashindwa ninunulia kama jirani yako hilo apple la macho matatu kweli.kwa ujirani mzuri wa miaka mingi tulikuwa nao kweli!!

Haki siamini[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Shida unamtaka sungura aliekimbilia shimoni bila kuinama na kumvuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom