Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Heri ya ukwaju kumung’unywa leo..heheheeeee wozaaaaah 🧚♀️🧚♀️Dah, sie wengine kila siku bahati sio yetu, kheri yake ukwaju
Heri ya ukwaju kumung’unywa leo..heheheeeee wozaaaaah 🧚♀️🧚♀️Dah, sie wengine kila siku bahati sio yetu, kheri yake ukwaju
HahahahaHeri ya ukwaju kumung’unywa leo..heheheeeee wozaaaaah![]()
😅😅😅wewe sasa rafiki yangu..mbona unapiga teke Fuko la hela ndugu yangu?Hahahaha, mm hapana Mkuu , ni msomaji na mtazamaji tu
Hahahaha, hapa sijaelewa
Fuko lipi hilo la hela ?wewe sasa rafiki yangu..mbona unapiga teke Fuko la hela ndugu yangu?
La mtoto mzuri 😅😅Fuko lipi hilo la hela ?
Sema neno achana na nukuta.....

😳😳😳mbona unanipandikiza maneno jombaa
Hahahaha, namtafutia posa kabisa sitaki mchezo mchezo MimiLa mtoto mzuri![]()
Rukusaa mkuu bila kuchelewa fika ofsni lakn si unajua bei za fomu za kugombea jimboNaomba ridhaa yako mkuu ili nichukue fomu




Karibu sana usukumani kwetu mkuuKwahiyo ndo umeamua uniseme kilugha na SHIMBA YA BUYENZE sio...
Basi sawa wiki ijayo naenda usukumani kwenu kujibu za lugha yenu
Thank youCute![]()
ComingNjoo PM
WeraaaaaaSema neno achana na nukuta![]()
Hahahaha