Selfika na JF: Snap it. Show it

I like this. Fast food mara moja moja siyo mbaya - hasa kama umekula hiyo baga na hizo fraizi ukazimaliza. 1, 000+ Calories [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Kweli Shimba hunitakii mema 😬😬😬 Yote hiyo ya nini? Unataka ninone kama ng'ombe wa Christmas???πŸ™„πŸ™„

Nilikula nusu na fries za kutupia tupia tu basi.
 
Kweli Shimba hunitakii mema [emoji51][emoji51][emoji51] Yote hiyo ya nini? Unataka ninone kama ng'ombe wa Christmas???[emoji849][emoji849]

Nilikula nusu na fries za kutupia tupia tu basi.
Eti unone kama ng'ombe wa Krismasi [emoji16][emoji16][emoji16]. Si ndo itakuwa vizuri kwa wapenda vinono?

Ulikula nusu? Na fries za kutupia tupia tu? Hooovyoooo !!!
 
Eti unone kama ng'ombe wa Krismasi [emoji16][emoji16][emoji16]. Si ndo itakuwa vizuri kwa wapenda vinono?

Ulikula nusu? Na fries za kutupia tupia tu? Hooovyoooo !!!
Shimba we ndo wale mnaosemaga "Siunenepe tu!😏" alafu baadae mnakuwa bisy kukimbizana na 'english figure' mtaani ???

Anyway, usiwe mkali hivyo bana πŸ˜”πŸ˜” ...naongezea na hizi πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ kidogo πŸ™‚
 
Hizo Dorritos nazo si utakula tuvipande tuwili tu basi? [emoji16][emoji16][emoji16]

English figure eeeh! How English? Flaviana Matata or Beyonce English? Mwanamke lazima awe na vinyama nyama bana - hasa zile sehemu muhimu (if you know what I mean) [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…