Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

The best time to have tea, is whenever you want tea. Karibuni wadau
20201110_162934.jpg
 
Lizzy. You deserve some kudos. You tried...Utakuwa angalau umeongeza kakilo japo kamoja na naamini sasa usharudi tena kwenye maisha yako ya tonge moja na kushindia kipande cha embe au chai kavu. Maisha ya umodo kazi sana wallahi. I salute you !!!
Asante kwa ku-acknowledge juhudi zangu Shimba. Once a week huwa nakula hovyo kidogo🙂🙂

To be honest sidhani hata kama napungua kihivyo😏😏 Japo sijapima weight muda (sitaki kuwa dissapointed) bado naona niko vile vile tu. Sioni changes za maana.😬😬
 
Back
Top Bottom