🤣🤣🤣🤣🤣 Karma mie ni medium mpenzi. Sema nikijiachia kula wiki tu nakuwa kanono kanono hivi...nadhani ndo maana huonaga utofauti sometimes 😁😉Unajua hadi leo sijapata kuelewa kama wewe ni mnene au mwembamba! Kuna baadhi ya picha zako unaonekana mnene kuna nyingine unaonekana mwembamba!
Unadhani hata yananihusu basi [emoji23][emoji23]
I am just concerned [emoji85][emoji85]
Wazungu wana msemo wao wanasemaKwahiyo mkuu tusioe tu mkuu maanaa ni karaha, ila ngoja nioe tu nitajua nitambana wapi au vipi
Douta, mfano mimi sio chichiem lakini I appreciate Magu, utanielezea vipi?Mmhh mi niseme ukweli sijawahi kupishana na comment yako yoyote ukiwa unasupport chama chochote cha upinzani siyo za kipindi hiki wala huko nyuma! Huwa unawaponda sana upinzani na kuwasifia CCM na huwa unalike comments za wanaoitetea CCM!
Anyway siyo mbaya ukisema kama wewe ni mwanachama wa CCM! Una haki na uhuru wa kuwa kwenye chama chochote mwaya ila ifike kipindi lazima tuseme ukweli CCM walikofikia siko na wanakoelekea ndiyo kubaya kabisa lakini cha ajabu watu wanatetea tu kila kitu!
Msosi kama huu uvulie shati halafu ule kwa mkono .. Hapo lazima usahau matatizo yako kwa muda.
Hayana chamaMitano tena, maendeleo hayana chama
Ukishaonyesha appreciation wanakugroup kwenye CCMDouta, mfano mimi sio chichiem lakini I appreciate Magu, utanielezea vipi?
Yeah, hapo ni shida. Japo nahisi viongozi wamekosea sana kutengeneza matabaka ya wananchi.Ukishaonyesha appreciation wanakugroup kwenye CCM
Ni Sisi tu wananchi wenyewe sio viongoziYeah, hapo ni shida. Japo nahisi viongozi wamekosea sana kutengeneza matabaka ya wananchi.
Cha ajabu wananchi ndo wanauchungu sana kuliko hata hao viongozi..Yeah, hapo ni shida. Japo nahisi viongozi wamekosea sana kutengeneza matabaka ya wananchi.
Kabisa, siasa sio ya kuibeba too personal kwa sababu hata hao viongozi wetu hawapo hivyo tunavyodhani. Ila sasa mtaani hayo unayosema ndio yapo, chuki za wazi!Cha ajabu wananchi ndo wanauchungu sana kuliko hata hao viongozi..
Niliwahi kupoteza rafiki ambaye tumeishi vizuri kwa miaka mingi,akanichukia na kuniporomoshea matusi kisa tu sikuwa upande wake.
Kuna sehemu nilikuta wanapigana kisa mabishano ya siasa..ujinga mtupu..kesho na keshokutwa viongozi wanakaa pamoja wanapiga story maisha yanaenda.
[emoji122]Kabisa, siasa sio ya kuibeba too personal kwa sababu hata hao viongozi wetu hawapo hivyo tunavyodhani. Ila sasa mtaani hayo unayosema ndio yapo, chuki za wazi!
Halima Mdee au Halima yupi kamanda?View attachment 1619426
View attachment 1619431
chakula cha Halima kitamuuu alafu bei chee tu kinatusevu sana [emoji16]
Na ujiachie kweli mpaka kieleweke aisee. Ntafurahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shimba nshakwambia...huu mwili hata hauna adabu. Kujinyima kote kwangu bado wanaingia Flaviana wawili [emoji85][emoji85]
This weekend ntajiachia kidogo (cheat day) ili ufurahi na wewe [emoji846][emoji846]
Umejuaje nilikuwa tumbo wazi [emoji38][emoji38][emoji38]Msosi kama huu uvulie shati halafu ule kwa mkono .. Hapo lazima usahau matatizo yako kwa muda.
Nigawie mifuko hiyo ya Mbolea.
Nitakuletea jpili nakuja hom Ila onyesha kwanza shambaNigawie mifuko hiyo ya Mbolea.
Hata miwili tu bure